Native Bible

Numbers 4:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.”

Numbers 4:20 in English

Numbers 4:20 · Berean Standard Bible

But the Kohathites are not to go in and look at the holy objects, even for a moment, or they will die.”

Context

18“Hakikisheni kwamba koo za kabila la Wakohathi hawatengwi kutoka Walawi. 19Ili wapate kuishi wala wasife wanapokaribia vitu vitakatifu sana, uwafanyie hivi: Aroni na wanawe watakwenda mahali patakatifu na kumgawia kila mtu kazi yake, na kwamba ni nini atakachochukua. 20Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.” 21Bwana akamwambia Mose, 22“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.