Hesabu 33:48
Numbers 33:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko.
Numbers 33:48 in English
Numbers 33:48 · Berean Standard Bible
They set out from the mountains of Abarim and camped on the plains of Moab by the Jordan across from Jericho.
Context
46Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu. 47Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo. 48Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko. 49Huko kwenye tambarare za Moabu walipiga kambi kandokando ya Mto Yordani, kuanzia Beth-Yeshimothi mpaka Abel-Shitimu. 50Katika tambarare za Moabu kando ya Yordani kuvukia Yeriko, Bwana akamwambia Mose,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.