Hesabu 33:46
Numbers 33:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu.
Numbers 33:46 in English
Numbers 33:46 · Berean Standard Bible
They set out from Dibon-gad and camped at Almon-diblathaim.
Context
44Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu. 45Wakaondoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi huko Dibon-Gadi. 46Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu. 47Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo. 48Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.