Hesabu 33:40
Numbers 33:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mfalme Mkanaani wa Aradi, ambaye aliishi huko Negebu ya Kanaani, akasikia kwamba Waisraeli wanakuja.
Numbers 33:40 in English
Numbers 33:40 · Berean Standard Bible
Now the Canaanite king of Arad, who lived in the Negev in the land of Canaan, heard that the Israelites were coming.
Context
38Kwa amri ya Bwana, kuhani Aroni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri. 39Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123. 40Mfalme Mkanaani wa Aradi, ambaye aliishi huko Negebu ya Kanaani, akasikia kwamba Waisraeli wanakuja. 41Wakaondoka kwenye mlima Hori na kupiga kambi huko Salmona. 42Wakaondoka Salmona, wakapiga kambi huko Punoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.