Hesabu 31:2
Numbers 31:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Uwalipize kisasi Wamidiani kwa ajili ya Waisraeli. Halafu baada ya hayo, utakufa.”
Numbers 31:2 in English
Numbers 31:2 · Berean Standard Bible
“Take vengeance on the Midianites for the Israelites. After that, you will be gathered to your people.”
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Uwalipize kisasi Wamidiani kwa ajili ya Waisraeli. Halafu baada ya hayo, utakufa.” 3Kwa hiyo Mose akawaambia watu, “Waandaeni baadhi ya wanaume wenu waende vitani kupigana na Wamidiani ili wawalipize kisasi cha Bwana. 4Peleka wanaume 1,000 vitani kutoka kila kabila la Israeli.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.