Native Bible

Numbers 31:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Numbers 31:1 in English

Numbers 31:1 · Berean Standard Bible

And the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Uwalipize kisasi Wamidiani kwa ajili ya Waisraeli. Halafu baada ya hayo, utakufa.” 3Kwa hiyo Mose akawaambia watu, “Waandaeni baadhi ya wanaume wenu waende vitani kupigana na Wamidiani ili wawalipize kisasi cha Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.