Native Bible

Numbers 31:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walichukua nyara zote na mateka, pamoja na watu na wanyama,

Numbers 31:11 in English

Numbers 31:11 · Berean Standard Bible

and carried away all the plunder and spoils, both people and animals.

Context

9Waisraeli waliwateka wanawake wa Kimidiani pamoja na watoto wao na walichukua makundi ya ngʼombe, kondoo na mali zao kama nyara. 10Walichoma moto miji yote ambayo Wamidiani walikuwa wanaishi, pamoja na kambi zao zote. 11Walichukua nyara zote na mateka, pamoja na watu na wanyama, 12nao waliwaleta wafungwa mateka na nyara kwa Mose na kwa kuhani Eleazari, nao Waisraeli walikusanyika kwenye kambi zao katika tambarare za nchi ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko. 13Mose, kuhani Eleazari na viongozi wote wa jumuiya wakatoka kuwalaki nje ya kambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.