Native Bible

Numbers 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watafanya huduma kwa ajili yake na kwa jumuiya yote katika Hema la Kukutania kwa kufanya kazi za Maskani.

Numbers 3:7 in English

Numbers 3:7 · Berean Standard Bible

They are to perform duties for him and for the whole congregation before the Tent of Meeting, attending to the service of the tabernacle.

Context

5Bwana akamwambia Mose, 6“Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Aroni kuhani ili wamsaidie. 7Watafanya huduma kwa ajili yake na kwa jumuiya yote katika Hema la Kukutania kwa kufanya kazi za Maskani. 8Watatunza samani zote za Hema la Kukutania, wakitimiza wajibu wa kuhudumia Waisraeli kwa kufanya kazi ya Maskani. 9Wakabidhi Walawi kwa Aroni na wanawe; hao ndio Waisraeli ambao wanakabidhiwa kwake kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.