Hesabu 3:24
Numbers 3:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kiongozi wa jamaa za Wagershoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Numbers 3:24 in English
Numbers 3:24 · Berean Standard Bible
and the leader of the families of the Gershonites was Eliasaph son of Lael.
Context
22Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500. 23Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani. 24Kiongozi wa jamaa za Wagershoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli. 25Katika Hema la Kukutania, Wagershoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania, 26mapazia ya ua, pazia katika ingilio la ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.