Hesabu 26:34
Numbers 26:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
Numbers 26:34 in English
Numbers 26:34 · Berean Standard Bible
These were the clans of Manasseh, and their registration numbered 52,700.
Context
32kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida;
kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi. 33(Selofehadi mwana wa Heferi hakuzaa wana, bali alikuwa na watoto wa kike tu, ambao majina yao yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.) 34Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700. 35Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao:
kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela;
kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri;
kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; 36Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela:
kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.