Hesabu 26:32
Numbers 26:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi.
Numbers 26:32 in English
Numbers 26:32 · Berean Standard Bible
the Shemidaite clan from Shemida, and the Hepherite clan from Hepher.
Context
30Hawa ndio waliokuwa wazao wa Gileadi:
kutoka kwa Iezeri, ukoo wa Waiezeri;
kutoka kwa Heleki, ukoo wa Waheleki; 31kutoka kwa Asirieli, ukoo wa Waasirieli;
kutoka kwa Shekemu, ukoo wa Washekemu; 32kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida;
kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi. 33(Selofehadi mwana wa Heferi hakuzaa wana, bali alikuwa na watoto wa kike tu, ambao majina yao yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.) 34Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.