Hesabu 26:27
Numbers 26:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500.
Numbers 26:27 in English
Numbers 26:27 · Berean Standard Bible
These were the clans of Zebulun, and their registration numbered 60,500.
Context
25Hizi ndizo zilizokuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa 64,300. 26Wazao wa Zabuloni kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Seredi, ukoo wa Waseredi;
kutoka kwa Eloni, ukoo wa Waeloni;
kutoka kwa Yaleeli, ukoo wa Wayaleeli. 27Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500. 28Wazao wa Yosefu kwa koo zao kutoka kwa Manase na kwa Efraimu walikuwa: 29Wazao wa Manase:
kutoka kwa Makiri, ukoo wa Wamakiri (Makiri alikuwa baba wa Gileadi);
kutoka kwa Gileadi, ukoo wa Wagileadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.