Hesabu 23:30
Numbers 23:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema, kisha akatoa sadaka ya fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.
Numbers 23:30 in English
Numbers 23:30 · Berean Standard Bible
So Balak did as Balaam had instructed, and he offered a bull and a ram on each altar.
Context
28Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika. 29Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, uandae mafahali saba na kondoo dume saba kwa ajili yangu.” 30Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema, kisha akatoa sadaka ya fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.