Hesabu 23:28
Numbers 23:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika.
Numbers 23:28 in English
Numbers 23:28 · Berean Standard Bible
And Balak took Balaam to the top of Peor, which overlooks the wasteland.*
Context
26Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Bwana?” 27Basi Balaki akamwambia Balaamu, “Njoo, nikupeleke mahali pengine. Huenda itampendeza Mungu kukuruhusu unilaanie hao watu kutoka mahali hapo.” 28Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika. 29Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, uandae mafahali saba na kondoo dume saba kwa ajili yangu.” 30Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema, kisha akatoa sadaka ya fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.