Native Bible

Numbers 23:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Bwana?”

Numbers 23:26 in English

Numbers 23:26 · Berean Standard Bible

But Balaam replied, “Did I not tell you that whatever the LORD says, I must do?”

Context

24Taifa lainuka kama simba jike; linajiinua kama simba ambaye hatulii mpaka amalize kurarua mawindo yake na kunywa damu ya mawindo yake.” 25Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!” 26Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Bwana?” 27Basi Balaki akamwambia Balaamu, “Njoo, nikupeleke mahali pengine. Huenda itampendeza Mungu kukuruhusu unilaanie hao watu kutoka mahali hapo.” 28Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.