Native Bible

Numbers 21:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Israeli akaishi katika nchi ya Waamori.

Numbers 21:31 in English

Numbers 21:31 · Berean Standard Bible

So Israel lived in the land of the Amorites.

Context

29Ole wako, ee Moabu! Umeharibiwa, enyi watu wa Kemoshi! Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, na binti zake kama mateka kwa Mfalme Sihoni wa Waamori. 30“Lakini tumewashinda; Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. Tumebomoa hadi kufikia Nofa, ulioenea hadi Medeba.” 31Kwa hiyo Israeli akaishi katika nchi ya Waamori. 32Baada ya Mose kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko. 33Kisha wakageuka na kwenda katika njia inayoelekea Bashani, naye Ogu mfalme wa Bashani pamoja na jeshi lake lote wakatoka kupigana nao huko Edrei.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.