Hesabu 20:23
Numbers 20:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, Bwana akamwambia Mose na Aroni,
Numbers 20:23 in English
Numbers 20:23 · Berean Standard Bible
And at Mount Hor, near the border of the land of Edom, the LORD said to Moses and Aaron,
Context
21Kwa kuwa Waedomu waliwakatalia Waisraeli kupita katika nchi yao, Israeli wakageuka, wakawaacha. 22Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori. 23Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, Bwana akamwambia Mose na Aroni, 24“Aroni atakusanywa pamoja na watu wake. Hataingia katika nchi ninayowapa Waisraeli, kwa sababu ninyi wawili mliasi dhidi ya agizo langu kwenye maji ya Meriba. 25Watwae Aroni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima wa Hori.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.