Native Bible

Numbers 20:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watwae Aroni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima wa Hori.

Numbers 20:25 in English

Numbers 20:25 · Berean Standard Bible

Take Aaron and his son Eleazar and bring them up Mount Hor.

Context

23Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, Bwana akamwambia Mose na Aroni, 24“Aroni atakusanywa pamoja na watu wake. Hataingia katika nchi ninayowapa Waisraeli, kwa sababu ninyi wawili mliasi dhidi ya agizo langu kwenye maji ya Meriba. 25Watwae Aroni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima wa Hori. 26Mvue Aroni mavazi yake, na umvike Eleazari mwanawe, kwa maana Aroni atakusanywa pamoja na watu wake; atakufa huko.” 27Mose akafanya kama Bwana alivyomwagiza: Wakapanda Mlima Hori mbele ya macho ya jumuiya yote ya Kiisraeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.