Native Bible

Numbers 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kundi lake lina watu 57,400.

Numbers 2:8 in English

Numbers 2:8 · Berean Standard Bible

and his division numbers 57,400.

Context

6Kundi lake lina watu 54,400. 7Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. 8Kundi lake lina watu 57,400. 9Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka. 10Kwa upande wa kusini kutakuwa kambi ya makundi ya Reubeni chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Reubeni ni Elisuri mwana wa Shedeuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.