Native Bible

Numbers 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni.

Numbers 2:7 in English

Numbers 2:7 · Berean Standard Bible

Next will be the tribe of Zebulun. The leader of the Zebulunites is Eliab son of Helon,

Context

5Kabila la Isakari watapiga kambi karibu na Yuda. Kiongozi wa watu wa Isakari ni Nethaneli mwana wa Suari. 6Kundi lake lina watu 54,400. 7Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. 8Kundi lake lina watu 57,400. 9Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.