Native Bible

Numbers 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kundi lake lina watu 54,400.

Numbers 2:6 in English

Numbers 2:6 · Berean Standard Bible

and his division numbers 54,400.

Context

4Kundi lake lina watu 74,600. 5Kabila la Isakari watapiga kambi karibu na Yuda. Kiongozi wa watu wa Isakari ni Nethaneli mwana wa Suari. 6Kundi lake lina watu 54,400. 7Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. 8Kundi lake lina watu 57,400.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.