Native Bible

Numbers 2:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kundi lake lina watu 41,500.

Numbers 2:28 in English

Numbers 2:28 · Berean Standard Bible

and his division numbers 41,500.

Context

26Kundi lake lina watu 62,700. 27Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani. 28Kundi lake lina watu 41,500. 29Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani. 30Kundi lake lina watu 53,400.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.