Hesabu 2:30
Numbers 2:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kundi lake lina watu 53,400.
Numbers 2:30 in English
Numbers 2:30 · Berean Standard Bible
and his division numbers 53,400.
Context
28Kundi lake lina watu 41,500. 29Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani. 30Kundi lake lina watu 53,400. 31Wanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao. 32Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.