Hesabu 2:15
Numbers 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kundi lake lina watu 45,650.
Numbers 2:15 in English
Numbers 2:15 · Berean Standard Bible
and his division numbers 45,650.
Context
13Kundi lake lina watu 59,300. 14Kabila la Gadi litafuata. Kiongozi wa watu wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deueli. 15Kundi lake lina watu 45,650. 16Wanaume wote walio katika kambi ya Reubeni, kufuatana na makundi yao, ni 151,450. Nao watakuwa nafasi ya pili kuondoka. 17Kisha Hema la Kukutania na kambi ya Walawi vitakuwa katikati ya kambi zote. Wao watasafiri kwa utaratibu ule ule kama walivyopiga kambi, kila mmoja mahali pake mwenyewe chini ya alama yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.