Native Bible

Numbers 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kundi lake lina watu 59,300.

Numbers 2:13 in English

Numbers 2:13 · Berean Standard Bible

and his division numbers 59,300.

Context

11Kundi lake lina watu 46,500. 12Kabila la Simeoni watapiga kambi karibu na Reubeni. Kiongozi wa watu wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Surishadai. 13Kundi lake lina watu 59,300. 14Kabila la Gadi litafuata. Kiongozi wa watu wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deueli. 15Kundi lake lina watu 45,650.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.