Hesabu 16:23
Numbers 16:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Bwana akamwambia Mose,
Numbers 16:23 in English
Numbers 16:23 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
21“Jitengeni kutoka kwenye kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.” 22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?” 23Ndipo Bwana akamwambia Mose, 24“Liambie kusanyiko, ‘Ondokeni hapo karibu na mahema ya Kora, Dathani na Abiramu.’ ” 25Mose akainuka na kuwaendea Dathani na Abiramu, nao wazee wa Israeli wakafuatana naye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.