Hesabu 16:21
Numbers 16:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Jitengeni kutoka kwenye kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.”
Numbers 16:21 in English
Numbers 16:21 · Berean Standard Bible
“Separate yourselves from this congregation so that I may consume them in an instant.”
Context
19Kora alipokuwa amekusanya wafuasi wake wote kuwapinga Mose na Aroni kwenye mlango wa Hema la Kukutania, utukufu wa Bwana ukatokea kwa kusanyiko lote. 20Bwana akamwambia Mose na Aroni, 21“Jitengeni kutoka kwenye kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.” 22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?” 23Ndipo Bwana akamwambia Mose,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.