Native Bible

Numbers 16:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose na Aroni,

Numbers 16:20 in English

Numbers 16:20 · Berean Standard Bible

And the LORD said to Moses and Aaron,

Context

18Kwa hiyo kila mtu akachukua chetezo chake, akaweka moto na uvumba ndani yake, na kusimama pamoja na Mose na Aroni kwenye mlango wa Hema la Kukutania. 19Kora alipokuwa amekusanya wafuasi wake wote kuwapinga Mose na Aroni kwenye mlango wa Hema la Kukutania, utukufu wa Bwana ukatokea kwa kusanyiko lote. 20Bwana akamwambia Mose na Aroni, 21“Jitengeni kutoka kwenye kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.” 22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.