Hesabu 12:15
Numbers 12:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Miriamu akafungiwa nje ya kambi kwa siku saba, nao watu hawakuendelea na safari mpaka aliporudishwa kambini.
Numbers 12:15 in English
Numbers 12:15 · Berean Standard Bible
So Miriam was confined outside the camp for seven days, and the people did not move on until she was brought in again.
Context
13Hivyo Mose akamlilia Bwana akisema, “Ee Mungu, nakuomba umponye!” 14Bwana akamjibu Mose, “Je, kama baba yake angemtemea usoni, asingeona aibu kwa siku saba? Mfungie nje ya kambi kwa siku saba; baada ya hapo anaweza kurudishwa kambini.” 15Kwa hiyo Miriamu akafungiwa nje ya kambi kwa siku saba, nao watu hawakuendelea na safari mpaka aliporudishwa kambini. 16Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.