Native Bible

Numbers 12:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.

Numbers 12:16 in English

Numbers 12:16 · Berean Standard Bible

After that, the people set out from Hazeroth and camped in the Wilderness of Paran.

Context

14Bwana akamjibu Mose, “Je, kama baba yake angemtemea usoni, asingeona aibu kwa siku saba? Mfungie nje ya kambi kwa siku saba; baada ya hapo anaweza kurudishwa kambini.” 15Kwa hiyo Miriamu akafungiwa nje ya kambi kwa siku saba, nao watu hawakuendelea na safari mpaka aliporudishwa kambini. 16Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.