Hesabu 10:35
Numbers 10:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, “Ee Bwana, inuka! Watesi wako na watawanyike; adui zako na wakimbie mbele zako.”
Numbers 10:35 in English
Numbers 10:35 · Berean Standard Bible
Whenever the ark set out, Moses would say, “Rise up, O LORD! May Your enemies be scattered; may those who hate You flee before You.”
Context
33Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. 34Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini. 35Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema,
“Ee Bwana, inuka!
Watesi wako na watawanyike;
adui zako na wakimbie mbele zako.” 36Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema,
“Ee Bwana, rudi,
kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.