Hesabu 10:33
Numbers 10:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.
Numbers 10:33 in English
Numbers 10:33 · Berean Standard Bible
So they set out on a three-day journey from the mountain of the LORD, with the ark of the covenant of the LORD traveling ahead of them for those three days to seek a resting place for them.
Context
31Lakini Mose akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali ambapo yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu. 32Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na Bwana.” 33Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. 34Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini. 35Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema,
“Ee Bwana, inuka!
Watesi wako na watawanyike;
adui zako na wakimbie mbele zako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.