Native Bible

Numbers 10:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.

Numbers 10:34 in English

Numbers 10:34 · Berean Standard Bible

And the cloud of the LORD was over them by day when they set out from the camp.

Context

32Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na Bwana.” 33Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. 34Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini. 35Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, “Ee Bwana, inuka! Watesi wako na watawanyike; adui zako na wakimbie mbele zako.” 36Wakati wowote Sanduku liliposimama, alisema, “Ee Bwana, rudi, kwa maelfu ya Waisraeli wasiohesabika.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.