Native Bible

Numbers 1:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.

Numbers 1:33 in English

Numbers 1:33 · Berean Standard Bible

those registered to the tribe of Ephraim numbered 40,500.

Context

31Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. 32Kutoka wana wa Yosefu: Kutoka wazao wa Efraimu: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 33Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500. 34Kutoka wazao wa Manase: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 35Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.