Hesabu 1:31
Numbers 1:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.
Numbers 1:31 in English
Numbers 1:31 · Berean Standard Bible
those registered to the tribe of Zebulun numbered 57,400.
Context
29Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400. 30Kutoka wazao wa Zabuloni:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 31Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. 32Kutoka wana wa Yosefu:
Kutoka wazao wa Efraimu:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 33Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.