Hesabu 1:29
Numbers 1:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.
Numbers 1:29 in English
Numbers 1:29 · Berean Standard Bible
those registered to the tribe of Issachar numbered 54,400.
Context
27Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600. 28Kutoka wazao wa Isakari:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 29Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400. 30Kutoka wazao wa Zabuloni:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 31Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.