Native Bible

Numbers 1:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600.

Numbers 1:27 in English

Numbers 1:27 · Berean Standard Bible

those registered to the tribe of Judah numbered 74,600.

Context

25Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650. 26Kutoka wazao wa Yuda: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 27Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600. 28Kutoka wazao wa Isakari: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 29Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.