Native Bible

Numbers 1:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200.

Numbers 1:35 in English

Numbers 1:35 · Berean Standard Bible

those registered to the tribe of Manasseh numbered 32,200.

Context

33Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500. 34Kutoka wazao wa Manase: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 35Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200. 36Kutoka wazao wa Benyamini: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 37Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.