Hesabu 1:21
Numbers 1:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500.
Numbers 1:21 in English
Numbers 1:21 · Berean Standard Bible
those registered to the tribe of Reuben numbered 46,500.
Context
19kama Bwana alivyomwagiza Mose. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: 20Kutoka wazao wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 21Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. 22Kutoka wazao wa Simeoni:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi walihesabiwa na kuorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 23Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.