Native Bible

Numbers 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama Bwana alivyomwagiza Mose. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai:

Numbers 1:19 in English

Numbers 1:19 · Berean Standard Bible

just as the LORD had commanded Moses. So Moses numbered them in the Wilderness of Sinai:

Context

17Mose na Aroni wakawachukua wanaume hao waliokuwa wamepewa majina yao, 18wakaita jumuiya yote pamoja katika siku ya kwanza ya mwezi wa pili. Watu wakaonyesha nasaba zao kwa koo zao na jamaa zao, nao wanaume waliokuwa na miaka ishirini au zaidi waliorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, 19kama Bwana alivyomwagiza Mose. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: 20Kutoka wazao wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 21Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.