Hesabu 1:23
Numbers 1:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300.
Numbers 1:23 in English
Numbers 1:23 · Berean Standard Bible
those registered to the tribe of Simeon numbered 59,300.
Context
21Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. 22Kutoka wazao wa Simeoni:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi walihesabiwa na kuorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 23Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300. 24Kutoka wazao wa Gadi:
Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao. 25Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.