Native Bible

Nehemiah 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wazao wa Paroshi 2,172

Nehemiah 7:8 in English

Nehemiah 7:8 · Berean Standard Bible

the descendants of Parosh, 2,172;

Context

6Hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 7wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Azaria, Raamia, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispereti, Bigwai, Nehumu na Baana): Orodha ya wanaume wa Israeli ilikuwa: 8wazao wa Paroshi 2,172 9wazao wa Shefatia 372 10wazao wa Ara 652

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.