Nehemia 6:15
Nehemiah 6:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli,* kazi ambayo ilichukua siku hamsini na mbili.
Nehemiah 6:15 in English
Nehemiah 6:15 · Berean Standard Bible
So the wall was completed in fifty-two days, on the twenty-fifth of Elul.*
Context
13Alikuwa ameajiriwa kunitisha ili kwa kufanya jambo hili nitende dhambi, kisha waweze kuniharibia jina langu na kuniaibisha. 14Ee Mungu wangu, wakumbuke Tobia na Sanbalati kwa sababu ya yale waliyotenda. Pia kumbuka nabii mke Noadia na manabii wengine ambao wamekuwa wakijaribu kunitisha. 15Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli,* kazi ambayo ilichukua siku hamsini na mbili. 16Adui zetu wote waliposikia kuhusu hili, mataifa yote yaliyotuzunguka yakaogopa na kupoteza ujasiri, kwa sababu yalitambua kuwa kazi hii imefanyika kwa msaada wa Mungu wetu. 17Pia katika siku hizo wakuu wa Yuda walikuwa wakituma barua nyingi kwa Tobia, nayo majibu yaliyotoka kwa Tobia yaliendelea kuwajia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.