Nehemia 12:22
Nehemiah 12:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakuu wa jamaa za Walawi katika siku za Eliashibu, Yoyada, Yohanani na Yadua, pia wale jamaa za makuhani, waliandikishwa wakati wa utawala wa Dario, Mwajemi.
Nehemiah 12:22 in English
Nehemiah 12:22 · Berean Standard Bible
In the days of Eliashib, Joiada, Johanan,* and Jaddua, during the reign of Darius the Persian, the heads of the families of the Levites and priests were recorded.
Context
20wa jamaa ya Salu, Kalai;
wa jamaa ya Amoki, Eberi; 21wa jamaa ya Hilkia, Hashabia;
wa jamaa ya Yedaya, Nethaneli. 22Wakuu wa jamaa za Walawi katika siku za Eliashibu, Yoyada, Yohanani na Yadua, pia wale jamaa za makuhani, waliandikishwa wakati wa utawala wa Dario, Mwajemi. 23Wakuu wa jamaa miongoni mwa wazao wa Lawi hadi wakati wa Yohanani mwana wa Eliashibu waliandikishwa katika kitabu cha kumbukumbu. 24Viongozi wa Walawi walikuwa: Hashabia, Sherebia, Yeshua mwana wa Kadmieli na wenzao, waliosimama mkabala nao kusifu na kushukuru, sehemu moja ikipokezana na nyingine kama ilivyoagizwa na Daudi mtu wa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.