Nehemia 12:21
Nehemiah 12:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wa jamaa ya Hilkia, Hashabia; wa jamaa ya Yedaya, Nethaneli.
Nehemiah 12:21 in English
Nehemiah 12:21 · Berean Standard Bible
of Hilkiah, Hashabiah; and of Jedaiah, Nethanel.
Context
19wa jamaa ya Yoyaribu, Matenai;
wa jamaa ya Yedaya, Uzi; 20wa jamaa ya Salu, Kalai;
wa jamaa ya Amoki, Eberi; 21wa jamaa ya Hilkia, Hashabia;
wa jamaa ya Yedaya, Nethaneli. 22Wakuu wa jamaa za Walawi katika siku za Eliashibu, Yoyada, Yohanani na Yadua, pia wale jamaa za makuhani, waliandikishwa wakati wa utawala wa Dario, Mwajemi. 23Wakuu wa jamaa miongoni mwa wazao wa Lawi hadi wakati wa Yohanani mwana wa Eliashibu waliandikishwa katika kitabu cha kumbukumbu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.