Marko 9:48
Mark 9:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mahali ambako “ ‘funza wake hawafi, wala moto wake hauzimiki.’
Mark 9:48 in English
Mark 9:48 · Berean Standard Bible
where ‘their worm never dies, and the fire is never quenched.’*
Context
46Mahali ambako funza wake hawafi wala moto hauzimiki.] 47Nalo jicho lako likikusababisha kutenda dhambi, lingʼoe. Ni afadhali kwako kuingia katika Ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili lakini ukatupwa jehanamu, 48mahali ambako
“ ‘funza wake hawafi,
wala moto wake hauzimiki.’ 49Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto. 50“Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utaifanyaje ili iweze kukolea tena? Mwe na chumvi ndani yenu, mkaishi kwa amani, kila mmoja na mwenzake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.