Native Bible

Mark 8:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.

Mark 8:30 in English

Mark 8:30 · Berean Standard Bible

And Jesus warned them not to tell anyone about Him.

Context

28Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine husema ni Eliya, na bado wengine husema wewe ni mmojawapo wa manabii.” 29Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo.”* 30Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. 31Ndipo akaanza kuwafundisha wanafunzi wake kuwa Mwana wa Adamu lazima atapata mateso mengi na kukataliwa na wazee, viongozi wa makuhani, na walimu wa sheria, na kwamba itampasa auawe lakini baada ya siku tatu afufuke. 32Aliyasema haya waziwazi, ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.