Marko 6:9
Mark 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.”
Mark 6:9 in English
Mark 6:9 · Berean Standard Bible
and to wear sandals, but not a second tunic.
Context
7(6) Kisha Yesu akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha. (7) Akawaita wale kumi na wawili, akawatuma wawili wawili, na kuwapa mamlaka kutoa pepo wachafu. 8Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote kwa ajili ya safari isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kwenye mikanda yenu. 9Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.” 10Akawaambia, “Mkiingia kwenye nyumba yoyote, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo. 11Kama mahali popote hawatawakaribisha wala kuwasikiliza, mtakapoondoka huko, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu ili kuwa ushuhuda dhidi yao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.