Native Bible

Mark 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote kwa ajili ya safari isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kwenye mikanda yenu.

Mark 6:8 in English

Mark 6:8 · Berean Standard Bible

He instructed them to take nothing but a staff for the journey—no bread, no bag, no money * in their belts—

Context

6Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani. 7(6) Kisha Yesu akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha. (7) Akawaita wale kumi na wawili, akawatuma wawili wawili, na kuwapa mamlaka kutoa pepo wachafu. 8Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote kwa ajili ya safari isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kwenye mikanda yenu. 9Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.” 10Akawaambia, “Mkiingia kwenye nyumba yoyote, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.