Native Bible

Mark 5:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawaagiza kwa ukali wasimweleze mtu yeyote jambo hilo, naye akawaambia wampe yule msichana chakula.

Mark 5:43 in English

Mark 5:43 · Berean Standard Bible

Then Jesus gave strict orders that no one should know about this, and He told them to give her something to eat.

Context

41Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” * (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”) 42Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Walipoona haya, wakastaajabu sana. 43Yesu akawaagiza kwa ukali wasimweleze mtu yeyote jambo hilo, naye akawaambia wampe yule msichana chakula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.